Spika Dkt.Tulia amezungumza na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhamasishaji Duniani wa UNICEF.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Ndg. Naysan Sahba, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhamasishaji Duniani wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo Mei 3, 2023. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Spika na mgeni